Kurunzi ya Ktn Leo: Siasa za Magharibi mwa Kenya na jinsi Ghasia yalivyo tokea Kakamega
5th April, 2016
Kurunzi ya Ktn Leo: Siasa za Magharibi mwa Kenya na jinsi Ghasia yalivyo tokea Kakamega. Hali ya ghasia ulioshuhudiwa katika uwanja wa Muliro Garden katika hafla ya kujizindua kwa azma ya mgombeaji wa Ford Kenya; Moses Wetangulah.