x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shirikia la al Muslimah laandaa hafla ya maonyesho ya nguo za kina mama wa Kiislamu

04, Apr 2016

Shirikia la al Muslimah liliandaa hafla yake ya nne ya maonyesho ya nguo za kina mama wa Kiislamu katika ukumbi wa Sarit Center hapa jijini Nairobi. Hafla hiyo iliwavutia wanawake wengi na hata wafanyibishara hususan wa kiislamu wanaovutiwa na mavazi maalum. Hata hivyo wengi walijitokeza kununua na hata kujifunza mengi kuhusu nguo za aina hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback