Watu wawili waponea chupuchupu wakijaribu kurekebisha mitambo ya umeme Nakuru
04, Apr 2016
Watu wawili walioponea chupuchupu walipokuwa wakijaribu kurekebisha mitambo ya umeme huko Nakuru wanaendelea kupokea matibabu katika hopitali moja huko Nakuru.