x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jaji mkuu Willy Mutunga atoa faili ya kesi ya Dedan Kimathi kwa chama cha Mau Mau

04, Apr 2016

Jaji mkuu Dkt Willy Mutunga ametoa faili ya kesi ya Dedan Kimathi kwa chama cha Mau Mau, kwenye hafla maalum iliofanywa katika bustani ya freedom corner jijini nairobi. Katibu wa chama cha mau mau Gitu wa Kahengeri ameipokea faili hiyo yenye maelezo ya kesi iliyomkumba kiongozi wa mau mau Dedan Kimathi.

RELATED VIDEOS


Feedback