x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waumini wa Kiislamu na Wakristo wakusanyika Garissa kwa maombi maalum

03, Apr 2016

Waumini wa dini ya Kiislamu na wale wa wa Kikristo katika eneo la Garissa wameamua kushirikiana kwa namna mbali mbali ili kuwakabili magaidi. Viongozi wa dini hizo mbili walitoa wito kwamba ushirikiano huo ndio njia mwafaka ya kusambaratisha shughuli ya wahalifu katika eneo. Hamza Yussuf amehudhuria hafla ya kukumbuka shambulizi la Garissa na sasa anaarifu

RELATED VIDEOS


Feedback