×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msemaji wa serikali Eric Kiraithe awashtumu wanasiasa wanaotumia ghasia na vitisho

3rd April, 2016

Msemaji wa serikali Eric Kiraithe amewashtumu wanasiasa na makundi ya kisiasa kwa kutumia ghasia na vitisho kuwatia hofu wapinzani wao. Kiraithe amewakosoa vikali wanasiasa kufuatia ghasia zilizozuka jumamosi katika bustani ya muliro kaunti ya Kakamega wakati kiongozi wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula alipokuwa akizundua azma yake kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwaka ujao. Watu wawili waliripotiwa kujeruhiwa pale wafuasi wa gavana wa kaunti hiyo wycliffe oparanya na seneta bonni khalwale walipokabiliana. Mtu mmoja anadaiwa kurusha kitoza machozi kwenye umati .
.
RELATED VIDEOS