KTN Leo Wikendi Michezo April 2 2016
2nd April, 2016
Aliyekuwa mshambulizi wa Timu Ya Nigeria, arsenal na ajax nwanko amedokeza kwamba Kenya ina uwezo mkubwa katika ulingo wa kandanda barani africa huku akihimiza chipukizi kutia bidii katika kukuza talanta zao . Gwiji huyo pia amehimiza mashirikisho yanayosimamia kandanda barani kujikaza na kuhakikisha kwamba kuna maendeleo katika soka nchini na barani.