x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maswali yaibuka ni kwa nini haswa Kenya inashumbuliwa katika eneo la Afrika

02, Apr 2016

Ni mwaka mmoja sasa tangu kenya ishuhudie shambulizi baya zaidi la ugaidi, lililotekelezwa katika Chuo Kikuu Cha Garissa. Shambulizi la alfajiri lililosababisha vifo vya wakenya 148, idadi kubwa ikiwa ni wanafunzi. Mauaji ambay o yamezua maswali chungu nzima, mbona Kenya ndio yenye kushambuliwa katika eneo hili la afrika mashariki? Je, ni kwa sababu ya kupeleka majeshi yake kwenye muungano wa amisom?, hali ya kenya kuwa mshirika mkuu wa mataifa ya magharibi katika jamii ya kimataifa? Au ni ukosefu wa ajira na mafunzo ya itikadi kali kwa vijana?

RELATED VIDEOS


Feedback