×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke mmoja akiri kutupa kinyesi chake kwenye kisima kinachotumiwa na kijiji nzima

1st April, 2016

Wakazi wa kijiji cha kapkoi kaunti ya Trans-Nzoia wameamkia kisa cha kushangaza baada ya mwanamke mmoja kutoka kijiji hicho kukiri kwamba amekuwa akitupa kinyesi kwenye kisima ambamo wakazi hao wamekuwa wakikitegemea kwa maji yake. Mwanamke huyo sasa amedai amekuwa akifanya hivyo ili kuwaadhibu majirani.
.
RELATED VIDEOS