Familia kadhaa zapoteza makao kutokana na mafuriko
1st April, 2016
Zaidi ya familia kumi zimepoteza mali ya mamilioni kutokana na mafuriko ya usiku wa kuamkia leo. Wakaazi hao wa mtaa wa Jonathan Ngeno huko Langata waliamshwa na mvua kali iliyoanza saa nne usiku.