Suasua ya Ugaidi :Walioathirika wangali na kumbukumbu
31st March, 2016
Zimesalia siku mbili umalizike mwaka tangu shambulizi la kigaidi katika tawi la chuo kikuu cha Moi Mjini Garissa. Lakini baadhi ya walioathiriwa wangali na kumbukumbu kana kwamba ilikuwa jana. Mwanafunzi mmoja wa kike aliyeepuka maafa hayo aliamua kufunga ndoa na mwanajeshi baada ya mkasa huo. Je ilikuwa ni hatua ya kujihakikishia usalama? Lofty Matambo anasimulia kwenye makala maalum suasua ya ugaidi