×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maafisa wa KWS wamua Simba ambaye alitoroka mbuga ya kitaifa ya Nairobi

30th March, 2016

Maafisa wa huduma kwa wanyama pori KWS wamemuu Simba sehemu ya Isinya baada ya kutoroka mbuga ya kitaifa ya Nairobi na na kuanza kusumbua wenyeji. Kwamujibu wa naibu kurugenzi wa KWS, Julius Cheptei, maafisa wake walimwua simba huyo kwa bahati mbaya baada ya kumvamia mwendesha pikipiki,jambo ambalo haliendi sambamba na picha tulozipata.
.
RELATED VIDEOS