x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakazi 1000 wa kijiji cha Maungu, Voi wailaumu KWS kutaka kuwafurusha katika ardhi yao

30, Mar 2016

Zaidi ya wakazi 1000 wa kijiji cha Maungu kaunti ndogo ya Voi wanalilia haki ya ardhi yao wanayodai kuwa shirika la wanyama pori KWS, linataka kuwafurusha baada ya kuishi hapo zaidi ya miaka 25. Wakazi hao sasa wanaitaka serikali ya kaunti ya Taita Taveta na serikali kuu kuingilia kati na kutetea haki yao.

RELATED VIDEOS


Feedback