Wakaazi Naivasha wazua rabsha na kusimamisha mradi wa CDF na kulaumu mbunge kwa kunyakua ardhi
29th March, 2016
Wakaazi wa eneo la Kinamba kule Naivasha walizua rabsha na kusimamisha mradi wa ujenzi wa zahanati unaofadhiliwa na hazina ya CDF wakimshtumu mbunge wao kwa kunyakua kipande cha ardhi ambapo zahanati hiyo inajengwa.