x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wawakilishi wa wadi wanawake waandamana kupinga kutolewa afisini kwa meneja wa jiji la Kisumu

29, Mar 2016

Wawakilishi wa wadi wanawake wameshirkiana na raia kuandamana jijini Kisumu kupinga kutolewa afisini kwa meneja wa jiji la Kisumu Dorris Ombara. Waandamanaji hao ambao walianza matembezi nje ya jiji na kupenyeza hadi katikati na kusababisha msongamano mkubwa wa magari katika barabara kuu ya Kisumu Kakamega walibeba mabango na kuimba nyimbo za kumkashfu gavana Jack Ranguma. Duru zinaarifu ktn kuwa chanzo cha mvutano huo ni kitita kikubwa cha hela ambacho afisi ya meneja wa jiji inapokea kila mwaka ikiwa ni zaidi shilingi milioni hamsini.

RELATED VIDEOS


Feedback