x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana wa Bomet Isaac Ruto adai kuna njama ya kumzima kisiasa

29, Mar 2016

Joto la kisiasa limeendelea kupanda katika kaunti ya Bomet baada ya baadhi ya wawakilishi wa wadi wa kaunti hiyo kuendelea kushinikiza madai ya ubadhirifu wa fedha dhidi ya gavana wa kaunti hiyo Isaac Ruto….hata hivyo gavana Ruto amejitenga na madai hayo na kudai kuwa kuna watu wenye njama ya kumzima kisiasa.

RELATED VIDEOS


Feedback