KRA yakamata magari ya kifahari yakiingizwa nchini pasi na kulipia ushuru bandarini Mombasa
29th March, 2016
Halmashauri ya utozaji ushuru nchini KRA leo imekamata magari ya kifahari yaliyokuwa yaingizwe nchini pasi na kulipia ushuru kwenye bandari ya Mombasa… …maafisa wa kra waliwasilisha magari mawili aina ya range rover na gari moja aina ya mercedes benz yaliyopangiwa kukwepa ushuru wa shilingi milioni 8.5.…