x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakenya wakijotokeza kuilaki timu iliyoshiriki mashindano ya mbio za kilomita 21 mjini Cardif

28, Mar 2016

Timu ya Kenya ambayo ilishiriki mashindano ya mbio za kilomita 21 mjini Cardif ilirejea nchini huku Wakenya wakijotokeza kuilaki timu hiyo katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Washindi hao walidokeza kuridhika na matokeo yao kwenye mashindano hayo na kwa sasa wanalenga kushirki mashindano ya Olimpiki

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback