Joto jingi linaloshuhudiwa nchini lasababisha wanafunzi kukosa masomo kuanzia adhuhuri Garissa
28th March, 2016
Joto jingi linaloshuhudiwa humu nchini limesababisha baadhi ya wanafunzi katika kaunti ya garissa kukosa masomo kuanzia saa za adhuhuri .baadhi ya wanafunzi tuliozungumza nao walisema sababu kuu ni kutostahmili joto jingi. Vipo visa vingi vya watu kuzirai na kukimbizwa hospitalini.