×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mjadala kuhusu kubanduliwa kwa tume huru ya uchaguzi na mipaka yazidi kupamba moto

28th March, 2016

Mjadala kuhusu kubanduliwa kwa tume huru ya uchaguzi na mipaka unazidi kupamba moto huku wanasiasa kutoka pande tofauti wakiunga ama kupinga hoja hiyo. Waziri wa ugatuzi Mwangi Kiunjuri amewataka wale wanaoshinikiza IEBC kubanduliwa kuzingatia katiba huku wanasiasa wengine wakisema kuwa IEBC imeshindwa kazi.
.
RELATED VIDEOS