x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Mandera washerehekea maadhimisho ya tatu ya ugatuzi

27, Mar 2016

Wakaazi wa kaunti ya Mandera wakishirikiana na serikali ya kaunti hiyo walisherekea maadhimisho ya tatu ya ugatuzi ya kaunti hiyo. Kaunti ya mandera ni kaunti ambayo imekabiliwa na visa vya mashambulizi ya kigaidi visa ambavyo vimetishia maendeleo ya kaunti hiyo. Licha ya changamoto za ukosefu wa usalama zinazoshuhudiwa katika kaunti hiyo wakaazi wanasema kuwa huu ndio mwamko mpya wa kaunti hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback