x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kiongozi wa kanisa la Kiangalikana Eliud Wabukhala awataka Wakenya wajiepushe na ukabila

27, Mar 2016

Kiongozi wa kanisa la kiangalikana nchini Kenya Eliud Wabukhala anawataka Wakenya kujiepusha na ukabila na desturi zote ambazo zinaweza kuleta mgawanyiko katika nchi hasa katika uchaguzi mkuu ujao wa 2017. Askofu huyo mkuu ambaye anatakiwa kustaafu katikati ya mwaka huu vile vile aliwataka wanasiasa kustaarabika na kujiepusha na matamshi ya chuki ambayo yanaweza kuleta uchochezi nchini.

RELATED VIDEOS


Feedback