Kongamano la Waislamu laanza Nairobi
26th March, 2016
Kongamano la siku tatu linalowaleta jamii ya waislamu lilianza leo katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Baadhi ya masuala yaliojadiliwa leo ni umoja na kuishi kwa amani kama ndugu huku ugaidi ukilaaniwa.