×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wawili wafa kwenye ajali Kakamega

25th March, 2016

Watu wawili wamepoteza maisha yao huku wengine 15 wakiendelea kupokea matibabu baada ya gari aina ya nissan la kuwabeba abiria kugongana na basi la kampuni ya Eldoret express usiku wa kuamkia leo. Ajali hiyo inasemekana kusababishwa na dereva wa basi alipojaribu kuipita tuktuk na kusababisha ajali.
.
RELATED VIDEOS