x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Madai ya ardhi kunyakuliwa yaibua zogo kaunti ya Kajiado

25, Mar 2016

Wiki moja baada ya ghasia zilizoshuhudiwa sehemu ya Imbirikani Kaunti Ya Kajiado na kupelekea vifo vya watu 2 kutokana na mzozo wa ardhi ya jamii ya wamaasai, kampuni ya kutengeza saruji ya bamburi imejitokeza na kukanusha madai ya kukodisha ardhi ya jamii ya imbirikani kwa shughuli zao. Wakati huohuo,mwenyejiti wa ardhi ya jamii hio amewapa changamoto wenyeji kutoa idhibati kwamba ardhi hio iliuzwa.

Feedback