x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waititu asisitiza alimaliza digrii yake India

25, Mar 2016

Mbunge wa kabete Ferdinand Waititu anasema atawasilisha hati kiapo dhidi ya gavana wa kiambu William Kabogo, kuhusiana na hulka zake za kimaadili kutokana na hali kwamba amehusishwa na visa kadha vinavyozua shauku kuhusu maadili yake. Akizungumzia kuhusiana na taarifa ya ktn leo hapo jana, tulipoangazia tu kwa muhtasari hati kiapo iliyowasilihwa na gavana Kabogo mahakamani kuhusiana na uhalali wa stakabadhi zake za elimu, Waititu anaelezea kwamba yeye ana majina yanayokanganya kutokana na hali kuwa wazazi wake walitengana wakati mmoja na kumlazimu kubadilisha jina. Ameahidi kuwasilisha mahakamani zaidi ya watu 50 aliyosoma nao kuthibitisha akuwa yeye anamiliki shahada.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback