×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakristo kote nchini wajumuika kusherehekea ijuma njema

25th March, 2016

Wakristo leo walimiminika makanisani kwenye ibada za kusherehekea ijumaa njema na mwanzo wa sherehe za pasaka. Jamii ya wakristo kote ulimwenguni kote husherehekea siku kuu ya pasaka, ukumbusho wa kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Baadhi ya wakenya hawakupata kusherehekea wakati huo kutokana na kupandishwa kwa nauli na hivyo kukatiza usafiri.
.
RELATED VIDEOS