x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Prof George Magoha achaguliwa kuwa mwenyekiti wa bodi ya baraza la mtihani

24, Mar 2016

Aliyekuwa naibu mhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi George Magoha ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa bodi ya baraza la mtihani hapa nchi baada ya kibiru kinyanjui kutimuliwa kwa misingi ya kushindwa kumaliza udanganyifu katika mitihani ya kitaifa. Kinyanjui ametimuliwa pamoja na maafisa wengine 9 katika baraza hilo waliotakikana na waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery kujiwasilisha kwa polisi na kuandikisha taarifa au kukamatwa.

RELATED VIDEOS


Feedback