Mwanaharakati Kalinga Mgandi akana mashtaka ya kumtusi seneta Emma Mbura
22nd March, 2016
Kesi kuhusu mwanaharakati wa haki za kibinadamu aliyeiambia mahakama kuwa alikua mpenzi wa seneta maalum wa chama cha TNA Emma Mbura,iliendelea leo huku mshtakiwa huyo akikana makosa ya kumtumia ujumbe wa sauti kupitia simu akimtusi na kumuudhi.