Shughuli ya kuandikisha vitambulisho yazinduliwa katika mtaa wa Dandora
22nd March, 2016
Katibu katika wizara ya masuala ya ndani Dkt. Karanja Kibicho amezindua shughuli ya kuandikisha vitambulisho katika mtaa wa Dandora eneo bunge la Embakasi kaskazini kaunti ya Nairobi. Shughuli hiyo inanuia kuhakikishia vijana wanapata vitambulisho kabla ya awamu ya pili ya usajili wapiga kura.