x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanafunzi achapwa kwa waya wa chuma na mwalimu wake kwa sababu ya barua ya mapenzi

22, Mar 2016

Barua ya mapenzi imekuwa sababu ya mwanfunzi mmoja kutoka shule ya Joymax kaunti ya Uasin Gishu kuchapwa kwa waya wa chuma na mwalimu wake. Jambo ambalo walimu wa shule wameoneka kujitenga na madai hayo huku wakidai mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alijijeruhi mwenyewe

Feedback