x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkuu wa upelelezi Ndegwa Muhoro akosoana na wakili Ahmednassir Abdullahi kuhusu madai ya ufisadi

21, Mar 2016

Mkuu wa idara ya upelelezi nchini Ndegwa Muhoro amekashifu vikali madai yaliomhusisha kupokea hongo pamoja na yale madai yaliyotolewa katika barua ya wakili Ahmednassir Abdullahi kuhusu mradi wa tatu city ambao kwa sasa unaonekana kuibua hisia mseto licha ya kesi hiyo kuwa mahakamani. Akizungumza na wanahabari,muhoro amewashauri mawakili wake kuanzisha kesi iwapo hatopata kusikia kutoka kwa wakili abdullahi.

RELATED VIDEOS


Feedback