Mwanaharakati Kalinga Mgandi atangaza mahakamani kuwa na uhusiano wa kimapenzi na seneta Emma Mbura
21st March, 2016
Mwanaharakati wa haki za kibinadamu Kalinga Mgandi hivi leo ametangaza waziwazi mahakamani kuwa ana uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu na seneta mteuliwa wa TNA Emma Mbura.