×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mazungumzo baina ya rais Uhuru Kenyatta na Yoweri Kaguta Museveni yagonga mwamba

21st March, 2016

Mazungumzo baina ya rais Uhuru Kenyatta na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kuhusu mradi wa kuezeka mabomba ya mafuta kutoka Uganda kupitia Kenya yalikosa kuzaa matunda baina ya mataifa ya Kenya na Uganda,huku viongozi wa mataifa hayo wakieka miadi ya kukutana tena baada ya wiki mbili jijini kampala nchini uganda.
.
RELATED VIDEOS