x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Vijana wafunga barabara katika mitaa za Donholm na Umoja na kutatiza usafiri

21, Mar 2016

Wakaazi wa mtaa wa Donholm na wale wa mtaa wa Umoja walilazimika kutumia mbinu nyingine za usafiri baada ya vijana kadhaa kuzifunga barabara mitaani humo. Kulingana na vijana hao walioungana na madereva wa matatu za barabara za mitaa hiyo,walidai zimewachosha huku zikitajwa kusabaisha misongamano mirefu pamoja na ajali.

RELATED VIDEOS


Feedback