x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mbunge wa Rongai, Nakuru ahimiza tume ya TSC kuwaajiri walimu zaidi

20, Mar 2016

Mbunge wa eneo la Rongai kaunti ya Nakuru Raymond Moi ametoa changamoto kwa waziri wa elimu Fred Matiangi na tume ya TSC kuajiri walimu zaidi ili kuimarisha elimu katika eneo bunge hilo. Moi alikuwa akizungumza katika shule ya upili ya burgei wakati wa uzinduzi wa miradi ya elimu utakaogharimu shilingi milion 7.2 unaofadhiliwa na serikali ya japan. Balozi wa japan nchini tatsushi terada alishuhudia shughuli hiyo. Aidha moi alitoa hundi ya shilingi elfu mia moja sabini na tatu ili kuwasaidia wanafuzi kutoka familia zisizojiweza.

RELATED VIDEOS


Feedback