x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Viongozi wa KANU waapa kuwania nyadhifa nyingi za kisiasa katika uchaguzi ujao

20, Mar 2016

Viongozi wa chama cha KANU wamesema watahakikisha kuwa wanagombea nyadhifa nyingi za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza katika hafla ya kuchangisha pesa katika shule ya msingi ya salawa kaunti ya baringo, viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wa kanu gideon moi wamesisitiza kwamba hawatafika mbele ya tume ya IEBC kutoa mwanga zaidi kuhusu madai yao kwamba tume hiyo ilishirikiana na serikali kufanya udanganyifu kwenye uchaguzi mdogo wa seneti kaunti ya Kericho.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback