Mzozo yaibuka kati ya Gavana wa Embu Evans Wambora na wawakilishi wa wadi
20th March, 2016
Mzozo unanukia kati ya Gavana wa Embu Martin Wambora na wawakilishi wa wadi. Wawakilishi hao wa wodi wanataka amwachishe kazi mmoja wa mawaziri wake. Francis Mtalaki anaarifu