×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wawili wauawa katika ghasia baina ya polisi na wenyenji Kajiado

20th March, 2016

Watu 2 wameuawa kwenye ghasia zilizozuka sehemu ya imbirikani kusini mwa kaunti ya Kajiado, baina ya polisi na jamii ya wamaasai katika sehemu hiyo. Ghasia hizo zilizuka wakati vijana na kina mama walipokusanyika kwenye mkutano uliojadili tuhuma za kampuni moja ya saruji kupewa kandarasi ya ujenzi wa kiwanda katika ardhi ya jamii, jambo ambalo lilipuuziliwa mbali na mwenyekiti wa ardhi ya jamii ya eneo la imbirikani. Ali Manzu anaarifu zaidi.
.
RELATED VIDEOS