Magavana wataka kuongezewa fedha zaidi
19th March, 2016
Baraza la magavana limeelezea kuwa serikali ya kitaifa ina njama ya kuangamiza ugatuzi kwa kukosa kuwatengea mgao unao faa.kupitia mwenyekiti wao Peter Munya magavana wamesema wataendeleza mchakato wa kura ya maoni ili kuhakikisha kuwa tatizo la fedha limetatuliwa