x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana Joho: Nyumba za kisasa zitawanufaisha wengi Mombasa

19, Mar 2016

Gavana Wa Mombasa Ali Hassan Joho amesisitiza kuwa wakaazi wanaoishi katika nyumba zinazomilikiwa na manispaa ya Kaunti Ya Mombasa ni lazima waondoke ili nyumba hizo zibomolewe na kisha majumba ya kisasa kujengwa . Joho alisema madhumuni ya mpango huo ni kuwafaa wafanyikazi wa manispaa ya Mombasa.Joho alisema kuwa kwa sasa ni wa chache ambao wananufaika na nyumba hizo akisema kuwa mpango wa sasa ni kuongeza idadi ya nyumba zinazoambatana na matakwa ya wafanyikazi.

RELATED VIDEOS


Feedback