x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri Najib Balala afungua Mbuga ya Rimoi

19, Mar 2016

Waziri wa utalii Najib Balala ametoa wito kwa wakenya kuwa mstari wa mbele kuuza vivutio vya kitali vya humu nchini kimataifa. Balala alisifia hususan uwezo wa maeneo kama ya bonde la ufa kujitokeza kama nguzo ya utalii nchini iwapo jamii za maeneo hayo zitaungana kubuni mazingira mwafaka ya uwekezaji. Alizingumza kwenye Kaunti Ya Elgeyo Marakwet wakati wa uzinduzi wa mbuga ya wanayama ya kitaifa ya rimoi. Mbuga hiyo inajivunia kuwa na ndovu wakubwa zaidi ulimwenguni ambao idadi yao ni zaidi ya mia sita. Kaunti hiyo imewekeza shilingi milioni 20 kuimarisha mbuga hiyo.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback