x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ruto ahudhuruia hafla ya shukrani Kaunti ya Kericho

19, Mar 2016

Naibu wa rais William Ruto amerejea leo katika Jimbo La Kericho kwa kikao cha kushereheka ushindi wa seneta Aaron Cheruyot ambaye nusura apokonywe fursa hiyo na chama cha kanu.akiwahutubia wafuasi wa muungano wa jubilee, ruto aliwashukuru kwa kupigia kura Cheruyot huku akiahidi kutekeleza ahadi zake kama serikali kwa wenyeji hao, saa chahche baadaya ya kuzindua ujenzi wa bara bara ya taplotin-kabianga-hadi eneo la premium.kwa upande wao, wabunge Aden Duale,Kipchumba Murkomen, na Stephen Sang,wamekahsifu katibu mkuu wa chama cha kanu Nick Salat wanayesema alitoa taarifa za kupotosha kuhusiana na matokeo ya uchaguzi.mkutano huo uliofanyika katika taasisi ya mafunzi ya waalimu mjini kericho umekamilika dakika chache zilizopita

Feedback