Kasisi apatikana akishiriki mahaba na “kondoo” wake huko Bungoma
18, Mar 2016
Kumeshuhudiwa sinema ya bure katika soko ya mechimeru Kaunti Ya Bungoma, wakati mchungaji mmoja alipofumaniwa na mke wa mchungaji mwenzake katika mazingira ya huba.