Simba mmoja atatiza wakaazi wa Nairobi
18th March, 2016
Hali ya taharuki ilitanda asubuhi ya leo eneo la cabanas kwenye barabara kuu ya mombasa baada ya simba kujitokeza barabarani. Waendesha magari nao walipiga honi huku wanaotembea wakikimbilia usalama.. Kisa hiki kimetokea siku moja baada ya simba watatu kuwaua takriban kondoo themanini eneo la Syokimau.