x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kinara wa cord apinga Jinsi serikali inavyotekeleza uteuzi wa maafisa

18, Mar 2016

Kinara wa cord Raila Odinga amekashifu serikali kwa jinsi inavyowateua maafisa kwenye serikali.matamshi ya Odinga pamoja na viongozi wengine wa mrengo wa cord yanajiri saa chache baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuwatea Francis Kimemia na aliyekuwa kamanda wa polisi Hussein Ali kwenye vyeo mbali mbali serikalini.raila alikuwa eneo la kisian kaunti ya kisumu kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha korando.

Feedback