Thomas Opiyo ateuliwa naibu mwenyekiti wa shirikisho la Raga nchini (KRU)
17th March, 2016
Mwenyekiti wa klabu ya raga ya Nondescript Thomas Opiyo ameteuliwa Naibu Mwenyekiti wa shirikisho la Raga nchini KRU katika mkutano mkuu wa kila mwaka ulioandaliwa hapo jana katika uwanja wa r.f.u.e.a. viongozi wengine wanne pia waliteuliwa katika mkutano huo.