×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shirikisho la riadha nchini, lamtaka mstaafu Noah Ngeny afafanue sababu zilizomfanya ajiuzulu

17th March, 2016

Mwenyekiti wa shirikisho la riadha nchini, Jackson Tuwei, amemtaka mwanariadha mstaafu Noah Ngeny afafanue zaidi sababu iliyomfanya ajiuzulu kutoka cheo cha mwakilishi wa wanariadha. Ngeny alijiuzulu kufuatia kile alichokitaja kama kutojituma kwa shirikisho la riadha nchini katika vita dhidi ya madawa yaliyopigwa marufuku
.
RELATED VIDEOS