x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Msaada wa Japan kwa Kaunti ya Nairobi

17, Mar 2016

Serikali ya japan imeipa serikali ya kaunti ya nairobi msaada wa magari manne ya kuzimamoto. Magari hayo yanatarajiwa kuwa ya msaada mkubwa jijini kwani wakazi wengi wanaishi maeneo ya mitaa ya mabanda, ambapo mikasa ya moto hutokea mara kwa mara. Jiji la nairobi lina magari sita ya kuzima moto lakini mara nyingi ukubwa wa jiji unazilemea. Magari hayo manne ya thamani ya shilingi milioni mia mbili za kenya yatawasili miezi michache ijayo huku jiji hili likiwa mwenyeji wa kongamano la tokyo kuhusu maendeleo afrika au tikad, mwezi agosti mwaka huu.

Feedback