×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kauli ya wakenya kuhusiana na utendakazi wa serikali ya jubilee

17th March, 2016

Kongamano la kutathmini utendakazi kwa serikali limeanza hii leo katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Kongamano hilo la siku nne linawaleta pamoja mawaziri ambao watahitajika kufahamisha nchi maendeleo na hatua walizopiga katika wizara zao. Kadhalika wantakiwa kuelezea changamoto zinazowakabili kutekeleza sera za serikali.
.
RELATED VIDEOS